Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Europa League, Chelsea na Arsenal kazi imeisha imebaki kwa Samatta na Genk
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Europa League, Chelsea na Arsenal kazi imeisha imebaki kwa Samatta na Genk
Sports

Europa League, Chelsea na Arsenal kazi imeisha imebaki kwa Samatta na Genk

December 13, 2018
Share
2 Min Read
SHARE

Kocha Maurizio Sarri na Unai Emery wako katika nafasi nzuri kwenye makundi yao na wala hawana presha ya matokeo kuelekea game ya mwisho wa hatua ya makundi ya UEFA Europa League, hivyo tutarajie upangaji wao wa vikosi kuwapumzisha wachezaji nyota.

Kikosi cha Chelsea kilichochini ya kocha Maurizio Sarri licha ya kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City wikendi iliyopita tayari wameshajihakikishia kumaliza wakiwa vinara wa kundi L katika michuano ya UEFA Europa League.

Kocha huyo muitalia anatarajia kuwapatia nafasi wachezaji ambao huwa hawapati namba kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo, huku kiungo wa kimataifa wa Ubelgiji, Eden Hazard amesema wanahitaji kuachana na ushindi walioupata dhidi ya Manchester City na kuangalia mechi zijazo.

“Unahitaji kuangalia zaidi kile unachotakiwa kufanya. Sisi tunataka kushinda, tunafurahi tumeshinda mchezo uliopita na tunajiandaa na mchezo wa Alhamisi (dhidi ya MOL Vidi)”>>>Eden Hazard

Kwa upande wa kocha wa Arsenal, Unai Emery yeye ana Vijana zaidi ya 10 walio chini ya umri wa miaka 20 na huenda akawatumia hao katika mchezo wao dhidi ya Qarabag huko nchini Azerbaijan, kwa upande wa Mbawana Samatta akiwa na club yake ya KRC Genk watahitaji ushindi katika game dhidi ya Sarpsborg ili kujihakikishia nafasi ya kuingia hatua inayofuata kwani Kundi lao hadi sasa wote (KRC Genk, Besiktas, Malmo na Sarpsborg) wana nafasi.

Kutoka Bundesliga klabu ya RB Leipzig ambayo msimu uliopita ilicheza kwenye ligi ya mabingwa Ulaya, safari hii wanahitaji kushinda mchezo wao dhidi ya Rosenborg huku wakitegemea ndugu zao Red Bull Salzburg washinde jijini Glasgow dhidi ya Celtic ili wao wapite kirahisi.

Balaa lingine ni kwa klabu ya AC Milan ambao wanafunga safari hadi Ugiriki kuumana na Olympiacos, wakiruhusu kufungwa magoli 2 watakuwa mameaga mashindano, game hizo ambazo zitaoneshwa ST World Football zitaanza kuchezwa kuanzia saa 23;00 kwa saa za Afrika Mashariki.

MO Dewji alivyojitokeza Taifa kwa mara ya kwanza baada ya siku 49 toka atekwe

You Might Also Like

Imani Kajula CEO mpya Simba SC

Winga wa Kimataifa Trossard amejiunga Arsenal

Live: Ally Kamwe akabidhiwa simu ya gharama na Rais wa Yanga Eng.Hersi

Arsenal yamsajili Trossard

Usain Bolt atapeliwa Bilioni 29, fahamu mapya yaliyoibuka

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA December 13, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ni zamu ya Monalisa, Natasha na Rose Ndauka sasa
Next Article Wenger amemshauri Zidane kwenda kufanya kazi England, kisa?
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?