Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

VIDEO: Manara kawakingia kifua wasanii walioitwa sio watu wa soka

on

Baada ya ushindi wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars wa kuingia hatua ya Makundi ya kuwania kufuzu World Cup 2022 nchini Qatar kufanikiwa kwa Tanzania kupata ushindi wa penati 3-0, baada ya dakika 120 kumalizika kwa aggregate ya 2-2.

Afisa habari wa Simba SC Haji Manara ambaye pia ni mjumbe wa kamati ndogo ya amasa ya Taifa Stars, amejitokeza hadhara baada ya uwepo wa mgawanyiko wake na waandishi wa habari na kueleza kuwa kwa sasa ni mshikamano kila kitu kipo sawa na kuwatetea wanaosema wasanii sio watu wa soka.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments