Akizungumza na millardayo.com & Ayo TV alisema...’Ni siku ya mapumziko na ikiwa kitaifa maonesho yanafanyika Mkoani Mbeya hivyo nawatakia kila la kheri Wafanyabiashara wote katika siku hii muhimu kwa wakulima, wafugaji na wengineo waendelee kutoa ajira kwa vijana kwenye sekta mbalimbali’- Ghalib Said Mohamed ‘GSM’