Alhamisi August 31, 2017 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole aliitisha mkutano wa ghafla na Waandishi wa Habari katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba, Dar es salaam.
>>>”Leo tumewaita kwa ghafla kwa sababu kuna tukio kwetu Chama Cha Mapinduzi tuliona vema na haki tuwahusishe Wanahabari ili kupitia kwenu Umma wa Watanzania upate kufahamu” – Humphrey Polepole………
“Lengo la Uchaguzi huu ni kukirejesha Chama kwa Wanachama” – Polepole
HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA