Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Fundi garage alieshuhudia ajali, mdogo wake akiteketea kwa moto Moro (+video)

on

Shomari Mfaume ni fundi garage ambaye Ofisi yake ipo jirani kabisa na eneo lilipotokea tukio la ajali ya moto Morogoro, na kupitia AyoTV  na ‘millardayo.com’ amesimulia namna tukio lote lilivyotokea na alivyoshuhudia Mdogo wake akiteketea kwa moto.


ALIYEMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA, ATISHIA MBELE YA HAKIMU “NITAFANYA KITU MBAYA”

Soma na hizi

Tupia Comments