Top Stories

Video: Mkurugenzi alivyoacha Ofisi na kuingia chini ya Daraja kuzoa taka

on

Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba ametumia muda wake wa ofisini kuingia chini ya Daraja la Makongoro kufanya usafi na kuzoa taka baada ya kuwa nje ya ofisi yake kwa wiki kadhaa.

Ulipitwa na hii? Serikali, Wadau wa Ujenzi wakutana

Soma na hizi

Tupia Comments