Top Stories

Staa wa Bollywood Salman Khan ahukumiwa miaka mitano jela

on

Mahakama nchini India baada ya kuta na hatia mwigizaji wa filamu za Bollywood, Salman Khan ya ujangili wa aina adimu ya swala uliofanyika mwaka 1998 imemhukumu kifungo cha miaka 5 jela.

Mahakama hiyo pia imemtoza faini ya Dola za Marekani 154 sawa na takriban Shilingi za Kitanzania 369,000.

Khan anadaiwa kuua swala wawili wa aina ya ‘blackbucks‘ ambayo hulindwa sana nchini humo. Alifanya kosa hilo katika mji wa Rajasthan wakati wakitengeneza filamu.

Agizo la Waziri Nchemba kwa Jeshi la Polisi “msiwaachie”

 

Soma na hizi

Tupia Comments