Mix

Breaking:Ghorofa ya Gms Kariakoo yawaka Moto muda huu.

By

on

2Taarifa za awali ambazo hazijathibitishwa rasmi  zinadai kuwa kuungua kwa ghrofa hili kumesababishwa na shoti ya umeme kwa sababu sehemu kunakowaka moto kuna transformer,millardayo.com inaendelea kufatilia taarifa hizi.Ghorofa hili mpaka sasa hivi bado linaendelea kuwaka.

3Ghorofa hili Lipo maeneo ya Kamata mkabala na Bavaria ni jengo la Gms,Muda uliaoanza kuwaka ni saa 8 mchana mpaka sasa ni zaidi ya saa1 moto unaendelea kuwaka.

 

Tupia Comments