AyoTV

EXCLUSIVE: Suma Lee kaongea kwa mara ya kwanza toka alipojitenga na bongofleva

on

Miongoni mwa hits zilizokuwa zikifanya vizuri miaka iliyopita kutoka kwa mkali wa bongofleva Suma Lee ni pamoja na Hakunaga ambayo iliingia kwenye list ya single kali zilizoanza kuchezwa zaidi ya mara tatu kwa siku mpaka mara nne kwenye wiki ya kwanza tu.

Sumalee aliingia kwenye ukimya baadae na ikaripotiwa kwamba ameamua kuishika zaidi dini yake ya Kiislamu hivyo hatofanya tena muziki wa bongofleva ila July 7 2016 ameipa heshima AyoTV na kueleza ukweli wenyewe.

Mimi bwana nimesimama muziki ila niombeeni dua niendelee kusimama nifikie kuacha muziki kabisa, tuseme nimesimama lakini nizidi kuombewa dua niendelee na msimamo huuhuu milele’ – Sumalee

Zaidi unaweza kumtazama Sumalee kwenye hii video hapa chini..

ULIIKOSA HII YA MZAZI MWENZA WA BOB JUNIOR KUOLEWA BASI MAJIBU YAKO ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments