AyoTV

FullVIDEO: John Bocco, Habibu Kiyommbo, Chilunda na wengine walivyokabidhiwa tuzo za VP 2017/18

on

Usiku wa June 23 2018 zilifanyika tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2017/18 na kutolewa kwa wale ambao wamefanya vizuri kuanzia makocha,wachezaji na club, tazama mwanzo mwisho list ya tuzo zilizotolewa usiku wa June 23.

Haji Manara kapenda usiku wa VPL ila kafunguka wasiwasi wake

Soma na hizi

Tupia Comments