AyoTV

VIDEO: Barabara 3 zilizofungwa kupisha show ya Chris Brown Mombasa Kenya

on

Ni October 8, 2016 ambapo Mombasa Kenya wanalo Tamasha kubwa na mgeni mkuu ni mwimbaji Chris Brown wa Marekani ambapo kutokana na ukubwa wa tukio lenyewe, imebidi barabara tatu zifungwe ili zisitumike kwa magari karibu na eneo la tukio lenyewe viwanja vya Golf Club.

Pamoja na Chris Brown, wengine watakaopanda ni Wizkid wa Nigeria, Vanessa Mdee na Alikiba wa Tanzania pamoja na Navio wa Uganda, hii video hapa chini inaonyesha jinsi barabara zenyewe zilivyofungwa.

ULIIKOSA HII YA CHRIS BROWN ALIVYOWASILI HOTELINI BAADA YA KUTUA MOMBASA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments