Top Stories

Rais Magufuli alivyokubali ombi la Sheikh Kishki “Atakuwepo taifa” (+video)

on

Rais John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano makubwa ya Afrika ya Quran yanayotarajiwa kufanyika Mei 19, 2019 katika Uwanja wa Taifa wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Katika mashindano hayo, zitashiriki nchi 18, washiriki ni 20 ambapo kwa Tanzania wapo washiriki watatu ambapo mshindi wa kwanza anatarajia kupata kitita cha Sh.Milioni 20 pamoja na zawadi nyingine.

“SERIKALI ILIFANYIE KAZI JAMBO HILI” -DR. MWIGULU NCHEMBA

Soma na hizi

Tupia Comments