AyoTV

VIDEO: Wizkid alivyotumbuiza kwenye Mombasa Rocks Festival…

on

Mwimbaji staa wa Nigeria Wizkid  alikua kwenye list ya waliotumbuiza kwenye Tamasha la Mombasa Rocks Music Festival ambalo pia mgeni wake mkuu alikua Chris Brown na wengine wakiwa ni Vanessa Mdee, Alikiba na wengineo.

Itazame hii video hapa ujionee jinsi Wizkid alivyotumbuiza Mombasa Rocks Festival

ULIIKOSA HII YA ALIKIBA ALIVYOTUMBUIZA KWENYE MOMBASA ROCKS FESTIVAL BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments