AyoTV

Video:Ukali wa DC Jokate Mwegelo kwenye hili wilayani Kisarawe

on

NI Headlines za mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ambae leo Jan 4, 2018 alipokea magodoro 20 na simtank mawili kutoka kwa Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu na Mbunge wa viti maalum mkoa wa Pwani, Zainab Vullu.

Akizungumza na waandishi wa habari aliwashukuru sana lakini miongoni mwa swali aliloulizwa ni kuhusiana na juu ya wazazi kutokemea suala zima la mimba za utoto, unaweza ukabonyeza play ujionee alichozungumza.

TOKOMEZA ZERO: MAGODORO 20 NA SIMTANK 2 WILAYANI KISARAWE

Soma na hizi

Tupia Comments