Video Mpya

VideoMPYA: Nandy anakualika kuitazama “kivuruge”

on

Muimbaji wa kike Nandy ambaye amekuja kwa kasi na hit singles zake ambazo zimekuwa zikipendwa na watu wengi na kumpa sifa ya kushinda tuzo ya AFRIMMA Nigeria, safari hii anakualika kuitazama video ya “kivuruge” uliyokuwa ukiisubiri.

Bonyeza PLAY kuutazama wimbo huo.

Dogo Janja amwambia Irene Uwoya “wewe mke wangu wa kwanza na mwisho”

Soma na hizi

Tupia Comments