Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

AyoTV

Kitu Rais wa Simba SC kaongea baada ya tuzo za MO Simba Awards 2018

on

Usiku wa June 11 2018 katika ukumbu wa Hayyat Simba iliingia katika historia mpya kwa kuanzisha utaratibu wa kuwa inatambuwa mchango kwa watu mbalimbali wanaoisadia Simba kufanya vizuri, ikiwemo wachezaji, viongozi na mashabiki.

Baada ya utolewaji wa tuzo hizo kwa washindi kwa msimu wa 2017/2018 kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah aliongea na waandishi wa habari na kuzungumzia hatua hiyo ya maendeleo klabu yao iliyopiga.

FULL VIDEO: Zilivyotolewa tuzo za MO Simba Awards 2018

Soma na hizi

Tupia Comments