Ad
Ad

AyoTV

VIDEO: Zahera katoa povu “Mpango wa kukwamisha Yanga haujaanza leo”

on

Kocha Mkuu wa Yanga SC Mwinyi Zahera ameeleza masikitiko yake kwa bodi ya Ligi kwa kutotaka kuwapangia wacheze August 30 kama walivyoomba ili kuwapa nafasi ya wachezaji wake kupumzika na sio August 28 kama walivyocheza leo uwanja wa Uhuru dhidi ya Ruvu Shooting na kupoteza 1-0.

Ruvu wameifunga Yanga 1-0 leo ikiwa ndio mara yao ya kwanza baada ya kucheza michezo 19, wakitoka sare michezo 3 huku Ruvu wakifungwa mara 15, kwa kiasi kikubwa Zahera ameeleza kuwa wachezaji wake walikuwa na uchovu zaidi kutokana na safari ya Botswana.

VIDEO: Niyonzima kaeleza kilichotokea kati yake na Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments