AyoTV

VIDEO: Majibu ya Vanessa Mdee kuhusu uhusiano wake na Trey Songz

on

Msimu wa 4 wa Coke Studio unatarajia kuanza October 2016 na wasanii mbalimbali tayari wako nchini Kenya wanandaa mashup hizo ikiwa Msanii kutoka Tanzania Vanessa Mdee ni miongoni mwa wasanii waliochaguliwa pia akiwemo msanii kutoka Marekani Trey Songz.

Baada ya wasanii kukutana kumekuwa na picha na videos zikizagaa kwenye mitandao ya kijamii kama instagram zikimwonesha Vanessa Mdee akiwa na Trey Songz pamoja sehemu tofauti kama kwenye majumba ya starehe n.k

Picha hizi zimezua utata kwa mashabiki wa Vanessa Mdee ambae yuko mapenzini na msanii Juma Jux kuwa inawezapelekea wawili hao kufikia tamati ya mahusiani yao, Camera za Millardayo.com na AyoTV zilimtafuta Vanessa na haya ndio majibu yake…

>>>’Asante sana Millardayo.com kwa kuntafuta, well mimi na Trey Songz tumekuwa tukifahamiana sana kwa mda mrefu tangu zamani wakati nafanya kazi MTV na….’

ULIKOSA KUITAZMA VIDEO YA TEAM WEMA WALIVYOMSUPRISE WEMA SEPETU KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKA VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments