AyoTV

VIDEO: Fina Mango amefunguka sababu za kushawishika kuandaa Dar Youth Cup

on

November 2 2019 itachezwa michezo ya Dar Youth Cup katika viwanja vya Gymkhana michezo hiyo ya soka itakuwa ikihusisha watoto wa umri chini ya miaka 13, 11 na 9, leo katika viwanja vya Gymkhana ilifanyika Draw ya kupanga timu.

Michuano hiyo ambayo itashirikisha timu 20 za jiji la Dar es Salaam imepewa baraka na shirikisho la soka Tanzania TFF na chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), kuelekea kuanza kwa michuano hiyo baada ya kupangwa kwa draw leo AyoTV imeongea na muandaaji wa michuano hiyo Fina Mango ambaye ameeleza sababu zilizopelekea kuanzisha michuano hiyo.

VIDEO: Goli lililoipa Tanzania Ubingwa wa CECAFA U-20 dhidi ya Kenya

Soma na hizi

Tupia Comments