Video Mpya

VideoMPYA: Joh Makini ameiachia zawadi ya Xmass ‘Mipaka’

on

Watu mbalimbali leo December 25 2017 duniani kote wanasherehekea sikukuu ya Xmass, mkali wa Hip Hop kutoka Weusi Kampuni Joh Makini amaeamua kuachia video mpya inayoitwa ‘Mipaka’ kama zawadi ya Xmass kwa mashabiki wake, tazama video yake na usiache kuacha comment yako Joh Makini atapita kuijibu.

WOLPER: “Labda nilikuwa sijajitambua, nimejifunza kutokana na makosa”

Soma na hizi

Tupia Comments