Michezo

Sheffield imeituliza Arsenal October 21 2019

on

Club ya Arsenal ya Ligi Kuu England usiku wa October 21 2019 walicheza mchezo wao wa tisa wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji wao Sheffield, Arsenal walikuwa wanainyemelea nafasi ya tatu kama wangepata matokeo chanya dhidi ya Sheffield na kuishusha Leicester katika nafasi hiyo.

Tofauti na matarajio ya wengi kuwa Arsenal katika mchezo huo anaweza kuondoka na point zote tatu lakini amejikuta akipoteza mchezo huo kwa goli 1-0 lililofungwa na Lys Mousset dakika ya, hiyo ikiwa ni mechi ya pili kwa Arsenal kupoteza msimu huu.

AUDIO: SERGIO AGUERO WA MAN CITY AMEPATA AJALI

Soma na hizi

Tupia Comments