AyoTV

VIDEO: John Bocco na Mzamiru Yassin walivyoifungia Simba leo vs Ruvu Shooting

on

Ligi Kuu Tanzania bara leo Jumapili ya February 4 2018 imeendelea tena wekundu wa Msimbazi Simba wakishuka uwanja wa Uhuru kucheza dhidi ya wenyeji wao Ruvu Shooting katika mchezo wa mzunguuko wa pili  wa Ligi, Simba imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0, magoli ya Simba yakifungwa na John Bocco na Mzamiru Yassin.

Okwi amedaiwa kupoteza fahamu uwanjani baada ya kupigwa kiwiko

Soma na hizi

Tupia Comments