Habari za Mastaa

Gigy Money kawapa makavu mastaa ‘Wema Sepetu umeniboa, Wanaona sio hadhi yao’

on

NI June 16, 2020, ambapo msanii kutokea Bongo Flevani, Gigy Money alitoa mwaliko kwa baadhi ya watu wake wa karibu akiwemo Wema Sepetu ili afike kwenye shughuli yake aliyoandaa ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa sasa unaambiwa Wema Sepetu hakufika eneo la tukio.

Mimi uwa najitoa sana kwanza nakumbuka Birthday ya Wema mimi ndio nilikuwa wa kwanza kufika nakumbuka na nilinunua meza ili nimfurahishe kwamba nilikuwepo, hayo ni maamuzi yake ya kutokufika kwenye shughuli yangu ila ameniboa’- Gigi Money

GIGY MONEY ALIVYOTUNZWA MIHELA NA ZAWADI YA PERFUME YA MILIONI MOJA KWENYE PARTY YAKE

FULL VIDEO: GIGY MONEY ALIVYOSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE NA WATU WAKE FULL KUJIACHIA

 

Soma na hizi

Tupia Comments