AyoTV

VIDEO: Viongozi wakuu walivyoshiriki kuaga mwili wa Dr. Macha Bungeni

on

Waziri mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wakiwemo wa Bunge na wa dini mbalimbali wameshiriki katika kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa viti maalum CHADEMA Dr. Elly Macha katika viwanja vya bunge Dodoma leo hii.

VIDEO: Maneno ya Waziri Mwakyembe kuhusu Mbunge Nassari kuingia bungeni akiwa amelewa 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments