Top Stories

VideoFUPI: Mahakama imemuachia kwa dhamana Mbunge Tundu Lissu

on

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo July 27, 2017 imemuachia kwa dhamana Mbunge, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Rais wa TLS Tundu Lissu baada ya kuwekwa mahabausu kwa siku kadhaa.

Tundu Lissu amepewa dhamana hiyo baada ya kutimiza masharti ya kuwa na wadhamini wawili wenye bondi ya Tsh. Milioni 10 kila mmoja na kuzuiwa asitoke nje ya Dar es Salaam na kesi imeahirishwa hadi August 24 mwaka huu.

FULL VIDEO: Lissu alivyogoma kutoka Mahakamani ili asikamatwe na Polisi Dodoma…bonyeza PLAY kutazama!!

Soma na hizi

Tupia Comments