Habari za Mastaa

Whozu kasaini Too much money, kaalipwa zaidi ya millini 60 (+ Picha )

on

Msanii wa muziki wa bongo fleva Whozu amesaini mkataba na kampuni ya entertainment iitwayo Too Much Money inayoongozwa na kaka yake Frank pamoja na Fred yenye ofisi zake jijini Guangzhou, China.

Na mkataba huo unahusisha Kusimamia kazi za Muziki, vichekesho pamoja na biashara ambazo zitahusisha jina la msanii huyo, mkataba huo mrefu ambao kwa mujibu wake amelipwa Dola za kimarekani 30,000 kama Deposit ambazo ni zaidi ya Millioni 60 za kibongo

Pia, akiwa nchini China Whozu amefanya kazi mbalimbali ikiwa kurekodi nyimbo kadhaa na maproducer wa China wenye asili ya Nigeria pamoja na kufanya video tatu nchini nchini humo.

VIDEO: GABO ASIMULIA SHABIKI ALIVYOMPIGA KIBAO, KISA KUIGIZA UHUSIKA KWENYE TAMTHILIA

Soma na hizi

Tupia Comments