Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kilichoendelea leo mahakamani kwenye kesi ya Agnes Masogange
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Kilichoendelea leo mahakamani kwenye kesi ya Agnes Masogange
Habari za Mastaa

Kilichoendelea leo mahakamani kwenye kesi ya Agnes Masogange

March 21, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Video Queen Agness Gerald maarufu kama ‘Masogange’ ambaye ametokea kwenye video kadhaa za muziki wa Bongofleva, leo March 21, 2017 alikwenda Mahakamani Kisutu Dar es salaam kufuatia kuitwa Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.

Kwa mujibu wa wakili wake aitwae Nictogen Itege  ameiambia millardayo.com kuwa kesi imeahirishwa mpaka tarehe 20 mwezi April kwasababu upande wa Serikali bado haujakamilisha Upelelezi juu ya kesi ya Video Queen huyo.

‘Leo kesi ilikuwa mara yake ya mwisho kutajwa lakini imepangiwa tarehe nyingine ambayo imepangiwa tarehe 20 mwezi April kama alivyosema mheshimiwa kuwa Serikali bado hawajakamilisha upelelezi  kwa hiyo hayo ndio naweza kukuambia kwa sasa’

ULIIKOSA HII YA AGNESS MASOGANGE ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI FEB 22, 2017 BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Tazama Diamond ‘Sheikh Mansoor’ akiwapokea Watoto wake Airport na Rolls Royce ‘Tiffah na Nillah’

TAGGED: masogange
Edwin TZA March 21, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Waziri mkuu mstaafu Sumaye kazungumza kinachoendelea kuhusu Makonda
Next Article VIDEO: ‘Rais itabidi awasikilize watu waliompa kura’-Bisimba, Mkurugenzi LHRC
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?