Habari za Mastaa

Video mpya ya Alikiba imegonga views 500,000 ndani ya saa 24

on

Ni saa 24 tu zimepita tangu mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ lakini tayari imeonekana mashabiki wake wameipokea vizuri baada ya kufikisha viewers zaidi ya 500,000.

EXCLUSIVE: Ushauri wa Huddah kwa Alikiba na Diamond ‘ni umama’

FID Q KAFUNGUKA: “Team KIBA hawajapenda, wanatukana… huwezi kunipangia”

Soma na hizi

Tupia Comments