Usiku wa kuamkia January 08 2016 najua kuna Watanzania ambao macho na masikio yao yalielekezwa Nigeria ambako zilikuwa zinatolewa Tuzo za wakali wa soka Afrika.
Good news ni kwamba staa wa soka ambaye amekiongoza kikosi cha TP Mazembe kufanya vizuri michuano ya Afrika, Mtanzania Mbwana Samatta amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo ya mchezaji bora wa soka Afrika mwaka 2015 kwa wachezaji wanaochezea Afrika.
Hapa nina nukuu ya Tuzo mbalimbali zilizotolewa kwa wakali wa soka 2015.
#GloCAFAwards2015 Tuzo ya kiongozi wa mwaka- Abdiqani Said ARAB (Rais wa shirikisho la soka Somalia) #MillardAyoSportsUPDATES
— millard ayo (@millardayo) January 7, 2016
#GloCAFAwards2015 Tuzo ya Mchezaji bora wa soka anayechezea Afrika (Wanaume)- Mbwana Aly SAMMATA (Tanzania) #MillardAyoSportsUPDATES
— millard ayo (@millardayo) January 7, 2016
#GloCAFAwards2015 Tuzo ya heshima kwa wakongwe wa soka-Charles Kumi GYAMI (Ghana) na Samuel Mbappe LEPPE (Cameroon) #MillardAyoSportsUPDATES
— millard ayo (@millardayo) January 7, 2016
#GloCAFAwards2015 Tuzo ya refa bora 2015- Papa Bakary GASSAMA (Gambia) #MillardAyoSportsUPDATES
— millard ayo (@millardayo) January 7, 2016
#GloCAFAwards2015 Tuzo ya Kocha bora mwaka 2015- Herve RENARD (Mfaransa), Kocha wa zamani Ivory Coast #MillardAyoSportsUPDATES
— millard ayo (@millardayo) January 7, 2016
#GloCAFAwards2015 Tuzo ya mchezaji mwenye umri mdogo zaidi- Victor OSIMHEN (Nigeria) #MillardAyoSportsUPDATES
— millard ayo (@millardayo) January 7, 2016
#GloCAFAwards2015 Tuzo ya ‘Most Promising Talent’ mwaka 2015- Etebo OGHENAKORO (Nigeria) #MillardAyoSportsUPDATES
— millard ayo (@millardayo) January 7, 2016
#GloCAFAwards2015 Tuzo ya ‘Fair Play’ mwaka 2015- Allez CASA (Senegal) #MillardAyoSportsUPDATES
— millard ayo (@millardayo) January 7, 2016
#GloCAFAwards2015 Tuzo ya klabu bora ya soka mwaka 2015- #TPMazembe (Democratic Republic of Congo) #MillardAyoSportsUPDATES
— millard ayo (@millardayo) January 7, 2016
#GloCAFAwards2015 Tuzo ya Timu bora ya soka ya mwaka 2015 (Wanaume)- #IvoryCoast#MillardAyoSportsUPDATES
— millard ayo (@millardayo) January 7, 2016
KIKOSI BORA CHA AFRIKA 2015 >>> Golikipa Robert Kidiaba (Congo), Mabeki ni Serge Aurier (Ivory Coast) Aymen Abdennour (Tunisia) Mohamed Meftah (Algeria) VIUNGO ni Andre Ayew (Ghana) Yaya Toure (Ivory Coast) Sadio Mane (Senegal) Yacine Ibrahimi (Algeria) WASHAMBULIAJI: Mbwana Samatta (Tanzania) Pierre Emerick Aubameyang (Gabon) Baghdad Bounedjah (Algeria)
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.