Top Stories

LIVE kutoka Ujerumani Mfanyakazi mwenzie Gamba asimulia walivyomkuta amefariki

on

Leo October 18, 2018 Mtangazaji wa Idhaa ya Sauti ya Kiswahili ya DW ya Ujerumani, Isaac Gamba amefariki dunia akiwa nchini humo.

AyoTV imezungumza na Mfanyakazi mwenzie Mohammed Abdula ambaye amesema “Jumanne Isack Gamba alikuwa mapumziko, jana tulimtarajia kazini ila hakufika kazini ndipo wasiwasi ulijitokeza, tukafanya juhudi kujua nini kimemfika na tukatoa taarifa Polisi, walifika kwake na kuvunja mlango wakamkuta amefariki. 

BREAKING: Mtangazaji Isack Gamba amefariki nchini Ujerumani

Soma na hizi

Tupia Comments