on air with millardayo

VIDEO: Miss Tanzania 2010 Genevieve aelezea kwanini kaanza kufanya Bongofleva

on

Kwenye On AiR with Millard Ayo amekaa na kuhojiwa Miss Tanzania 2010 Genevieve Mpangala ambaye kwa sasa ameamua kuingia rasmi kwenye kuimba muziki wa bongofleva.

Kwanini amekaa kimya wakati wote huo? kwanini hakutuonyesha kipaji chake toka time hizo? nini kimpeleka kwenye bongofleva? alivyorekodi studio nani na nani walikuwepo? yote haya na mengine anayajibu kwenye hii video hapa chini.

VIDEO: Kutana na mwigizaji Tanasha, Video Queen wa ‘nagharamia‘ ya Alikiba na Christian Bella, aongea kwanini aliwakatalia wengine na kumkubalia Alikiba, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments