Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Godzilla kafunguka kutumia Dawa za kulevya, mapenzi yanamtesa..?

on

Mkali kutokea Salasala, Godzilla kafunguka kuhusu kudaiwa kuwa mtu mwenye mawazo sana baada ya kuachana na mpenzi wake pamoja na kudaiwa kutumia dawa za kulevya zinazopelekea yeye kutokufanya vizuri kwenye muziki.

Tazama FULL INTERVIEW hapa chini kumtazama GODZILLA akifunguka.

Soma na hizi

Tupia Comments