Mix

GODWIN GONDWE: Asimulia Isaack Gamba alivyowahi kutekwa ”NILIJUA ANGEKUFA” (+Video)

By

on

Mwili wa mtangazaji maarufu aliyekuwa anafanyia kazi Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani (DW) marehemu Isaac Muyenjwa Gamba umeagwa leo October 29 2018 kwenye viwanja vya Hospitali ya Jeshi Lugalo. MMoja wa watu wa karibu na mrehemu ni Mkuu wa wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe ambaye kwenye tukio hilo amepata nafasi kutoa salamu zake na kueleza jinsi alivyomfahamu marehemu Isaac Gamba.

Akieleza jinsi alivyomfahamu Marehemu Gamba, Gondwe amesimulia jinsi marehemu Gamba alivyowahi kutekwa na kuteswa, Gondwe anasema siku hiyo ndio alijua marehemu Gamba angekufa. Unaweza kusikiliza kila alichozungumza Godwin Gondwe kwa kuponyeza play hapa chini.

LIVE: Ibada ya kuaga mwili wa Mtangazaji Isaac Gamba Hospitali ya Lugalo DSM, Bonyeza play hapa chini kutazama

Tupia Comments