Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Goli kipa afariki akidaka penati
Share
Notification Show More
Latest News
Gabon: Jean Ping atangaza kuwa ‘tayari kufanya kazi’ na viongozi wapya
September 22, 2023
Sudan:Burhan aonya vita vya Sudan vinaweza kusambaa hadi kwa majirani
September 22, 2023
Tunisia yamwachilia mchora katuni aliye kamatwa kwa michoro inayomdhihaki waziri mkuu
September 22, 2023
Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi
September 22, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Goli kipa afariki akidaka penati
Sports

Goli kipa afariki akidaka penati

February 15, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Kipa wa Ubelgiji, Arne Espeel (25) amekufa baada ya kudaka mkwaju wa penalti mwishoni mwa wiki iliyopita.

Winkel Sport B, inayocheza ligi daraja la pili ya Magharibi mwa Brabant nchini Ubelgiji, ilikuwa mbele kwa mabao 2-1 dhidi ya Westrozebeke wakati wapinzani wao walipozawadiwa mkwaju wa penalti katika kipindi cha pili.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye vyombo vya habari Ubelgiji, Espeel aliokoa mkwaju huo wa penalti lakini akaanguka chini.

Alipatiwa huduma ya kwanza haraka kumsaidia, lakini ikaripotiwa alifariki muda mfupi akiwa njiani kupelekwa hospitali.

Mechi hiyo ilichezwa uwanja wa nyumbani wa klabu hiyo, “Winkel Sport inaomboleza kifo cha Arne Espeel,” taarifa ya klabu hiyo ilisomeka.

“Tunawapa pole ya dhati familia na marafiki wa Arne katika msiba huu mzito. Soka imepoteza mchezaji mahiri.”

You Might Also Like

Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ajibu shutuma za mashabiki…..

Mshtaki mmojawapo wa Anthony aondoa malalamiko dhidi ya nyota huyo

Virgil van Dijk aahidi ushidi kwenye Ligi ya Europa kuelekea mechi yao dhidi ya LASK

Joao Felix amefichua juu ya kujitolea kuifungia Barcelona kwa mkopo

Beki wa Chelsea amepata majeraha baada ya kurejea mazoezini

TAGGED: Sports
Pascal Mwakyoma TZA February 15, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 15, 2023
Next Article Panya Road 6 wadakwa, Usiku wa Manane Kamanda Muliro atinga Bunju na Bagamoyo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Gabon: Jean Ping atangaza kuwa ‘tayari kufanya kazi’ na viongozi wapya
Top Stories September 22, 2023
Sudan:Burhan aonya vita vya Sudan vinaweza kusambaa hadi kwa majirani
Top Stories September 22, 2023
Tunisia yamwachilia mchora katuni aliye kamatwa kwa michoro inayomdhihaki waziri mkuu
Top Stories September 22, 2023
Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi
Top Stories September 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Gabon: Jean Ping atangaza kuwa ‘tayari kufanya kazi’ na viongozi wapya

September 22, 2023
Top Stories

Sudan:Burhan aonya vita vya Sudan vinaweza kusambaa hadi kwa majirani

September 22, 2023
Top Stories

Tunisia yamwachilia mchora katuni aliye kamatwa kwa michoro inayomdhihaki waziri mkuu

September 22, 2023
Top Stories

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?