Michezo

Golikipa Matasi apata ajali ya gari

on

Golikipa wa Timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars anayecheza St. George ya Ethiopia Patrick Matasi (33) amepata ajali ya gari pamoja na familia yake akiwa njiani Kapsabet akirejea Nairobi kutokea Kakamega.

Matasi na familia yake kwenye ajali hiyo wametoka salama hakuna aliyepoteza maisha zaidi ya kuwa na majeraha tu ila gari ndio imeharibika zaidi.

Soma na hizi

Tupia Comments