AyoTV

Video ya goli la Mtibwa Sugar Vs Simba nusu fainali ya Mapinduzi Cup 2016, Full Time 1-0 ..

on

Klabu ya Simba SC January 10 ilikuwa timu ya kwanza kuaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika hatua ya nusu fainali dhidi ya Mtibwa Sugar, baada ya Simba kushindwa kusawazisha goli la Mtibwa lililofungwa na Ibrahim Jeba dakika ya 45, hivyo huo ndio ukawa mwisho wa safari yao katika michuano hiyo baada ya mchezo kumalizika Mtibwa Sugar akiwa mbele kwa goli 1-0. Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea vipande vya mchezo na goli la Ibrahim Jeba hapo chini …

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments