Habari za Mastaa

Goma jipya…. Joh Makini ft. Lady Jaydee ‘kiwembe’

on

Joh Makini kwenye siku mbili tatu hizi alikua akiuliza maswali aachie ngoma gani kati ya tatu alizonazo tayari ambapo ya kwanza ni ya Joh Makini ft. Simmi wa Nigeria, ya pili Joh Makini ft. Lady Jaydee na ya tatu Joh Makini ft. Falz wa Nigeria ambapo kolabo na Jide ndio imeshinda kwa kura nyingi na kuachiwa, isikilize hapa chini

.

.

Soma na hizi

Tupia Comments