Habari za Mastaa

Good news!! @Aytanzania aanza kushoot video mbili huko Marekani

on

.

.

Ambwene Yesaya aka AY ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wa Tanzania ambao ujio wao huwa hautabiriki kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya mitindo mingi ya muziki.

Good News ni kwamba sasa hivi yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video wa wimbo mpya ‘Going Down’ aliowashirikisha  Ms Triniti & Lamyia,ikiwemo na ile collabo aliyofanya na msanii wa Marekani mwenye asili ya jamaica ‘Sean Kingston

Kupitia ukurasa wake instagram hitmaker huyo wa single ‘Adela’ ameshare picha akiwa huko Marekani katika utengenezaji wa video hizo mbili kuandika

Bongo Flava we’ve arrived to Hollywood Hills…I’ll tell u later what m doin here with @seankingston#TANZANIA #Jamaica

 

.

.#Repost from @producerriley with @repostapp — Tanzanians best AY and I shooting a video for the next single. Looking for our second #1 video in Africa !! #africa #ay #tanzania #seankingston #mstriniti

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.#SeanKingston and #Ms.Trinity #poker #musicvideo

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Fs

Tupia Comments