Mix

Good news kutoka Clouds FM kwa watumiaji wa App ya Boomplay

on

Clouds Media Group imekuwa kampuni ya kwanza ya kihabari Afrika Mashariki kuingia ushirikiano wa kimkakati na Boomplay ambapo itawezesha watumiaji wa App hiyo kupata maudhui kutoka Clouds FM.

Kupitia ushirikiano huu watumiaji wa Boomplay na wasikilizaji wa Clouds FM watakuwa na uwezo wa kusikiliza vipindi mbalimbali kutoka Clouds FM kama XXL, Amplifaya, Traffic Jamz na Bongofleva.

“Ushirikiano huu una maana kubwa kwetu kwani unaturuhusu kuwa karibu na wasikilizaji wetu ambao wengi wao ni vijana na kupitia mamilioni ya watumiaji wa Boomplay tutakuwa na uwezo wa kuwafikia vijana wengi zaidi”>>> Reuben Ndege Afisa Mkuu wa Ubunifu CMG

HANS POPE AMTOLEA UVIVU MANARA, AMEKATAA MSHAHARA WA MILIONI 4, KAPEWA MILIONI 10 NA GSM

 

Tupia Comments