Good News kutoka Silent Ocean Ltd watangaza rasmi kuanza safari zake kutoka India kuja Tanzania

Ni Silent Ocean Simba wa bahari ambapo baada ya kuwafikia wateja wake katika nchini mbalimbali ikiwemo China, Marekani, Uturuki na Dubai. Sasa leo Mei 16, 2023 wameutangaza umma kuwa wamefungua tawi jipya nchini India ambapo litahusika na kuhakikisha kuwahudumia wateja mbalimbali katika huduma ya usafirishaji. Akizungumza katika Uzinduzi huo Mkurugenzi Mtendaji alisema..’Hii ni nchi ya … Continue reading Good News kutoka Silent Ocean Ltd watangaza rasmi kuanza safari zake kutoka India kuja Tanzania