Habari za Mastaa

Harmonize amemtangaza msanii mpya wa Nigeria kwenye lebo yake

on

Mwimbaji wa Bongofleva Harmonize amemtangaza msanii mpya Young Skales kutokea Nigeria kwenye  Lebo yake ya muziki ya Konde gang  ambapo anakuwa ni msanii wa Pili kumtambulisha kwenye lebo yake baada ya kumtambulisha msanii Ibraah. Harmonize ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika…>>>..”Ndoto ya muziki wa Afrika mpaka Duniani.. Tunayofuaraha kukukaribisha msanii bora kutoka Nigeria, Kaka yangu Young Skales karibu kwenye familia ya Konde Gang ni timu ya ndoto 💪“ – Harmonize

Soma na hizi

Tupia Comments