Top Stories

GoodNews: Watanzani wameletewa fursa ya kumiliki nyumba za kisasa Oman

on

Hii ni Good News kutoka kampuni ya Muriya ambayo imekuja na mradi wa Jebel Sifah itakayo wawezesha watanzania kumiliki nyumba Oman kwa kulipa fedha kidogo kidogo.

Kampuni hii kwa sasa wameweka kambi Zanzibar ambapo wanapokea wateja kwaajili ya kuwaelimisha juu ya mradi huo na kupokea oda za watakao hitaji huduma yao.

Bonyeza Play kuona nyumba na wahusika wakielezea zaidi.

PART 2: WANANDOA WALIOPISHANA MIAKA 38 WAMETAJA SIRI YA NDOA YAO

Soma na hizi

Tupia Comments