Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Wajue watu maarufu Tanzania ambao picha zao na majina vilitafutwa sana kwenye mtandao mwaka 2013

on

trends

Google trends imetoa list ya majina/maneno ambayo yametafutwa sana kwenye mtandao wa google search kwa mwaka 2013 ambapo dunia nzima ime-search sana jina la Nelson Mandela likifuatiwa na mwigizaji Paul Walker aliefariki.

Upande wa Tanzania majina ya watu maarufu yaliyotafutwa sana kwa upande wa picha (image search) ni Wema, Diamond na Wema Sepetu.

Kwa ujumla unaweza kusema jina lililotafutwa sana kwa upande wa image search kwenye google kwa mwaka 2013 ni Wema Sepetu
google

Hizi sehemu ambazo nimeweka au kufuta kwa alama nyeusi ni matusi hayo mazee, watu walikua wanasearch matusi, well… kwa upande wa Youtube search jina la mtu maarufu lililotokea sana ni la Diamond Platinumz.

Ukikumbuka kwa makini kitu kilichomfanya atafutwe sana kwenye mtandao wa Youtube itakuwa ni video ya My Number 1.

youtube Watu waliotafutwa sana duniani kwenye Google kwa mwaka 2013

1

Matukio yaliyotafutwa sana kwa mwaka 2013 dunia nzima

2 Electronic device zilizotafutwa sana kwenye google kwa mwaka 2013

3Wanamichezo waliotafutwa sana kwa mwaka 2013

4 5Movie zilizotafutwa sana kwa mwaka 2013

6

Tupia Comments