Mix

VIDEO: DC Jokate baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa Wagonjwa

on

Ni headlines za Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ambapo leo Agosti 24, 2018 alikabidhiwa vifaa vya usafi pamoja na vitanda vinne kutoka Builder’s Centre. 

Aidha mkuu wa wilaya kabla ya kupokea vifaa hivyo vya usafi aliongea kuhusiana na malalamiko anayoyapata kutoka kwa wagonjwa.

ULIKOSA HII YA MTI ULIOPEWA JINA LA MHESHIMIWA JOKATE MWEGELO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments