Top Stories

PICHA 10: Baadhi ya maeneo ya Dar baada ya mvua asubuhi ya leo

on

Ni siku tatu zimepita tangu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kutoa utabiri kuhusu uelekeo wa mvua za vuli September 4, 2017…sasa leo September 8, 2017 mvua hizo zimenyesha katika maeneo kadhaa ya Dar es Salaam.

HALI YA HEWA: Yakufahamu kuhusu mwelekeo wa mvua za vuli

Soma na hizi

Tupia Comments