Top Stories

Nchi zinazoongoza kwa ushawishi zaidi duniani zimetajwa…ziko hapa

on

Kiwango cha ushawishi chanya wa Marekani umeonekana kuendelea kushuka haraka kuliko nchi yoyote, kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na Ipsos MORI.

Organisation hiyo ya Kimataifa iliwatafiti watu wazima 18,055 kutoka katika nchi 25 ambapo iliwauliza Taifa gani na Taasisi gani ya Kimataifa (zikiwemo EU na UN) zilizokuwa na ushawishi mkubwa duniani.

Wengi walionesha kujibu Canada kuwa na ushawishi chanya duniani ambapo inawafanya kupata 81% na kuwa kinara ikifuatiwa na Australia katika nafasi ya pili ikiwa na 79%. Marekani ikamata nafasi ya 9 ikiwa na 40%.

TWAWEZA!! Ya kufahamu ripoti mpya hali ya Afya Tanzania…tazama kwenye hii video!

VIDEO: Mambo matatu Zitto kayasema kuhusu utafiti wa TWAWEZA leo

VIDEO: Ya kufahamu kwenye taarifa ya Haki za Binadamu na Biashara mwaka 2016

Soma na hizi

Tupia Comments