Vituko/ Comedy

Kutana na gari linalopinduka kwa Makusudi, dereva yumo ndani na ndie anaelipindua kila saa.

on

01Ni vile vitu ambavyo inawezekana havijakufikia bado, kwenye hii dunia yenye kona nyingi kuna vitu vingi sana vinafanyika ndani ya siku moja na hata havitufikii, nimeiokota hii ya huyu mbunifu aliyeamua kubuni kitu ambacho kitamuepusha kupata madhara kila gari lake linapopinduka kwa mbele.

Kutazama inavyokuwa inabidi usubiri sekunde chache ili hizi video mbili ndio zikupe sehemu ya kuplay ili uweze kuona.

Part I

A video posted by millard ayo (@millardayo) on

Hahaah Part II ya gari linalopinduka makusudi. #goodmorningmtuwangu A video posted by millard ayo (@millardayo) on

Sasa huyu jamaa ameshakupa uhakika kwamba ukipanda gari lake mnapinduka salama, ikitokea akakupa lift mpinduke wote utakubali? usiache kuniandikia comment yako hapa chini mtu wangu

Tupia Comments