AyoTV

EXCLUSIVE: Aliyetoa pesa gari la zawadi ya Miss TZ 2016 likanunuliwe afunguka (+ video)

on

May 11 2017 Kamati ya shindano la Miss Tanzania ilimkabidhi Diana Edward Miss Tanzania 2016 zawadi yake ya gari (Suzuki Swift) ikiwa ni zaidi ya miezi 6 toka fainali ya shindano lenyewe ifanyike.

Leo AyoTV na millardayo.com zimempata mdhamini aliyechangia kupatikana kwa gari hilo na amekubali kuzungumzia na kujibu ishu mbalimbali ikiwemo ya gari hilo kuonekana limejaa matangazo, kaelezea jinsi alivyofatwa na kamati pamoja na ishu nyingine…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

ULIPITWA? Binadamu mzee zaidi duniani anayepatikana Tanzania, PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

VIDEO: Aliyesali kwa sauti Gari lisisombwe na maji afunguka, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments