Habari za Mastaa

Msanii mmoja kutoka Afrika aliyetajwa kwenye tuzo za Grammy 2017

on

Wakati majina ya mastaa waliotajwa kuwania tuzo kubwa za Grammy 2017 yametoka, Afrika inaingia kwenye headlines nyingine mwaka huu ambapo kwa mara ya kwanza msanii kutoka Nigeria ametajwa kuwa mmoja kati wanaowania tuzo hizo.

Wizkid kutoka Nigeria ametajwa katika tuzo hizo kupitia wimbo wa ‘One Dance’ alioshirikishwa na Drake kutoka kwenye albam yake ya Views ambayo ipo kwenye kipengele cha albam bora ya mwaka. Grammy ni moja ya tuzo zinazoheshimika sana duniani ikitajwa kuwa ni tuzo zinazompa msanii heshima ya milele kwenye kazi zake.  

Video:Wizkid alivyofanya  perfomance Mwanza  Tanzania  (FIESTA 2016)

Video:List ya Wasanii utakaowasikia kwenye Album mpya ya Navy Kenzo>>>

Video: Post kubwa Instagram, Diamond Platnumz na Zari wamepata mtoto wa Kiume>>>

Soma na hizi

Tupia Comments