Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Yako mengi Duniani, na hii simu iliyotengenezwa kwa majani umeipata?
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Yako mengi Duniani, na hii simu iliyotengenezwa kwa majani umeipata?
Mix

Yako mengi Duniani, na hii simu iliyotengenezwa kwa majani umeipata?

March 28, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Thursday 19th March 2015: O2 Recycle has collaborated with designer, Sean Miles, to unveil a unique mobile phone prototype which has been made using the unconventional material of pulped grass clippings from the pitch at Twickenham Stadium ? the home of the England Rugby Team. For more information or a full release: Hope&Glory PR t: +44 (0)20 7566 9748 e: o2@hopeandglorypr.com © Mikael Buck / O2

Teknolojia inatufungulia mapya kila siku.. Nakumbuka simu za kwanza za mkononi zilikuwa kubwa halafu nzito, baadae ikaja fashion ya simu ndogo ndogo, zile kubwa watu wakawa wanaziita ‘mshindi’ ambalo ni jina la sabuni… Sasa hivi tunaona fashion ya simu kubwa inarudi mdogomdogo.

Sean Miles anaingia kwenye historia, anaingia kwenye headlines pia.. yeye kagundua hii simu ambayo imetengenezwa kwa majani kabisa pamoja na mchanganyiko wa vitu vingine vilivyochakaa ama vilivyoharibika.

O2-recycle-grass-phone-designboom03Dili ambayo alipewa na Kampuni ya O2 ilikuwa Miles afanye ubunifu njia ambayo wataweza kutumia mabaki ya vitu ambavyo vimechakaa na havifai kwa matumizi, katoka na hii ambayo hata waliomuagiza hiyo kazi imewashangaza yani.

Unaambiwa cover ya simu hii ukiiangalia ni kama majani kabisa.

_81927339_grassphone2Ubunifu huu umefungua ukurasa mpya kwenye Teknolojia, Kampuni ya O2 wanaangalia kama wataweza kuweka nguvu nyingi zaidi ili simu zenye cover hizi zilizotengenezewa majani zitengenezwe nyingi na kuingia kwenye soko la Dunia.

O2-Grass-Phone-31-537x444

Vipi mtu wangu ukikutana na hii simu pale Kariakoo an Mlimani City kuna kitu kitakufanya usiipende labda?

Bonyeza play umcheki Sean Miles akifanya kazi yake sasa kuitengeneza hii simu…

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

You Might Also Like

TPA watoa Elimu kuhusu huduma zao

Mkutano wa IAWP New Zealand wafungwa, CP Kaganda awakaribisha Wajumbe Tanzania

EWURA kutokomeza mafuta ya makopo vijijini

Mradi wa Umeme wa Upepo wa Zanzibar wapamba moto

Joe Biden atuma salamu za pole kwa Mfalme wa Morocco

TAGGED: Uingereza
Millard Ayo March 28, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kutana na maneno ya mchekeshaji Baba Levo baada ya kwenda kwenye hii nyumba ya Diamond na kukuta nakshi za gold bafuni.
Next Article Hackers wa Nigeria kwenye Headlines tena.. Safari hii ni ishu ya Website ya Tume ya Uchaguzi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?